Hesabu 25:1 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC1 Basi Israeli akakaa Shitimu, kisha watu wakaanza kuzini pamoja na wanawake wa Moabu; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema1 Waisraeli walipokuwa huko Shitimu, wanaume walianza kuzini na wanawake wa Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND1 Waisraeli walipokuwa huko Shitimu, wanaume walianza kuzini na wanawake wa Moabu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza1 Waisraeli walipokuwa huko Shitimu, wanaume walianza kuzini na wanawake wa Moabu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu1 Israeli alipokuwa akikaa Shitimu, wanaume wa Israeli walianza kuzini na wanawake wa Moabu, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu1 Israeli alipokuwa akikaa Shitimu, wanaume wa Israeli walianza kuzini na wanawake wa Kimoabu, Tazama sura |