Hesabu 24:5 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC5 Mahema yako ni mazuri namna gani, Ee Yakobo, Maskani zako, Ee Israeli! Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema5 Hema zako zapendeza namna gani enyi watu wa Yakobo; naam, kambi zenu enyi watu wa Israeli! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND5 Hema zako zapendeza namna gani enyi watu wa Yakobo; naam, kambi zenu enyi watu wa Israeli! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza5 Hema zako zapendeza namna gani enyi watu wa Yakobo; naam, kambi zenu enyi watu wa Israeli! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu5 “Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, maskani zako, ee Israeli! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu5 “Tazama jinsi yalivyo mazuri mahema yako, ee Yakobo, maskani yako, ee Israeli! Tazama sura |