Hesabu 24:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Balaamu akainua macho yake akawaona Israeli wamekaa kabila kwa kabila; Roho ya Mungu ikamjia. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Alitazama juu akawaona Waisraeli wamepiga kambi, kila kabila mahali pake. Kisha roho ya Mungu ikamjia, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Alitazama juu akawaona Waisraeli wamepiga kambi, kila kabila mahali pake. Kisha roho ya Mungu ikamjia, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Alitazama juu akawaona Waisraeli wamepiga kambi, kila kabila mahali pake. Kisha roho ya Mungu ikamjia, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Balaamu alipotazama nje na kuona Israeli amepiga kambi kabila kwa kabila, Roho wa Mungu akawa juu yake, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Balaamu alipotazama nje na kuona Israeli amepiga kambi kabila kwa kabila, Roho wa Mwenyezi Mungu akawa juu yake, Tazama sura |