Hesabu 24:19 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC19 Mwenye kutawala atakuja kutoka Yakobo, Atawaangamiza watakaobaki mjini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema19 Mmoja wa wazawa wa Yakobo atatawala naye atawaangamiza watakaonusurika wa Ari.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND19 Mmoja wa wazawa wa Yakobo atatawala naye atawaangamiza watakaonusurika wa Ari.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza19 Mmoja wa wazawa wa Yakobo atatawala naye atawaangamiza watakaonusurika wa Ari.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu19 Mtawala atakuja kutoka kwa Yakobo na kuangamiza walionusurika katika mji.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu19 Mtawala atakuja kutoka kwa Yakobo na kuangamiza walionusurika katika mji.” Tazama sura |