Hesabu 23:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Balaamu akamwambia Balaki, Haya, unijengee hapa madhabahu saba, kisha uniandalie ng'ombe dume saba, na kondoo dume saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Balaamu akamwambia Balaki, “Nijengee madhabahu saba hapa, unitayarishie fahali saba na kondoo madume saba.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Balaamu akamwambia Balaki, “Nijengee madhabahu saba hapa, unitayarishie fahali saba na kondoo madume saba.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Balaamu akamwambia Balaki, “Nijengee madhabahu saba hapa, unitayarishie fahali saba na kondoo madume saba.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Balaamu akasema, “Nijengee hapa madhabahu saba, uandae mafahali saba na kondoo dume saba kwa ajili yangu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Balaamu akasema, “Nijengee hapa madhabahu saba, uandae mafahali saba na kondoo dume saba kwa ajili yangu.” Tazama sura |