Hesabu 23:25 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC25 Balaki akamwambia Balaamu, Basi usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema25 Ndipo Balaki akamwambia Balaamu, “Basi, usiwalaani wala usiwabariki kabisa!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND25 Ndipo Balaki akamwambia Balaamu, “Basi, usiwalaani wala usiwabariki kabisa!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza25 Ndipo Balaki akamwambia Balaamu, “Basi, usiwalaani wala usiwabariki kabisa!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu25 Kisha Balaki akamwambia Balaamu, “Usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu25 Kisha Balaki akamwambia Balaamu, “Usiwalaani kabisa, wala usiwabariki kabisa!” Tazama sura |