Hesabu 23:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Hakutazama uovu katika Yakobo, Wala hakuona ukaidi katika Israeli. BWANA, Mungu wake, yu pamoja naye, Na sauti kuu ya mfalme iko katikati yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Mwenyezi-Mungu hajaona ubaya kwa wana wa Yakobo, wala udhia kwa hao wana wa Israeli. Mwenyezi-Mungu Mungu wao yuko pamoja nao, Yeye husifiwa kwa vifijo miongoni mwao, yeye huzipokea sifa zao za kifalme. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Mwenyezi-Mungu hajaona ubaya kwa wana wa Yakobo, wala udhia kwa hao wana wa Israeli. Mwenyezi-Mungu Mungu wao yuko pamoja nao, Yeye husifiwa kwa vifijo miongoni mwao, yeye huzipokea sifa zao za kifalme. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Mwenyezi-Mungu hajaona ubaya kwa wana wa Yakobo, wala udhia kwa hao wana wa Israeli. Mwenyezi-Mungu Mungu wao yuko pamoja nao, Yeye husifiwa kwa vifijo miongoni mwao, yeye huzipokea sifa zao za kifalme. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 “Haijaonekana bahati mbaya katika Yakobo, wala taabu katika Israeli. Mwenyezi Mungu, Mungu wao, yu pamoja nao, nayo sauti kuu ya Mfalme imo kati yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 “Haijaonekana bahati mbaya katika Yakobo, wala taabu katika Israeli. bwana, Mungu wao yu pamoja nao, nayo sauti kuu ya Mfalme imo katikati yao. Tazama sura |