Hesabu 23:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 Tazama, nimepewa amri kubariki, Yeye amebariki, nami siwezi kulitangua. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 Tazama, nimepewa amri ya kubariki, naye amebariki wala siwezi kuitangua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 Tazama, nimepewa amri ya kubariki, naye amebariki wala siwezi kuitangua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 Tazama, nimepewa amri ya kubariki, naye amebariki wala siwezi kuitangua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 Nimepokea agizo kubariki; amebariki, nami siwezi kubadilisha. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 Nimepokea agizo kubariki; amebariki, nami siwezi kubadilisha. Tazama sura |