Hesabu 23:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 BWANA akaonana na Balaamu akatia neno kinywani mwake, akasema, Umrudie Balaki, ukaseme hivi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mwenyezi-Mungu akakutana na Balaamu, akampa maneno atakayosema, na kumwambia arudi kwa Balaki. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mwenyezi-Mungu akakutana na Balaamu, akampa maneno atakayosema, na kumwambia arudi kwa Balaki. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mwenyezi-Mungu akakutana na Balaamu, akampa maneno atakayosema, na kumwambia arudi kwa Balaki. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Mwenyezi Mungu akakutana na Balaamu, akaweka ujumbe katika kinywa chake akasema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 bwana akakutana na Balaamu, akaweka ujumbe katika kinywa chake akasema, “Rudi kwa Balaki umpe ujumbe huu.” Tazama sura |