Hesabu 23:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Naye akajibu, akasema, Je! Hainipasi kuangalia, niseme neno lile BWANA atialo kinywani mwangu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Balaamu akamwambia Balaki, “Sina budi kusema maneno aliyonipa Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Balaamu akamwambia Balaki, “Sina budi kusema maneno aliyonipa Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Balaamu akamwambia Balaki, “Sina budi kusema maneno aliyonipa Mwenyezi-Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Balaamu akajibu, “Je, hainipasi kusema kile Mwenyezi Mungu anachoweka katika kinywa changu?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Balaamu akajibu, “Je, hainipasi kusema kile bwana anachoweka katika kinywa changu?” Tazama sura |