Hesabu 22:8 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC8 Akawaambia, Kaeni hapa usiku huu, nami nitawaletea jawabu kama BWANA atakavyoniambia; wakuu wa Moabu wakakaa na Balaamu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Balaamu akawaambia, “Laleni huku usiku huu, nami nitawajulisheni atakayoniambia Mwenyezi-Mungu.” Basi, wazee hao wa Moabu wakakaa na Balaamu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Balaamu akawaambia, “Laleni huku usiku huu, nami nitawajulisheni atakayoniambia Mwenyezi-Mungu.” Basi, wazee hao wa Moabu wakakaa na Balaamu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Balaamu akawaambia, “Laleni huku usiku huu, nami nitawajulisheni atakayoniambia Mwenyezi-Mungu.” Basi, wazee hao wa Moabu wakakaa na Balaamu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Balaamu akawaambia, “Mlale hapa usiku huu, nami nitawaletea jibu lile Mwenyezi Mungu atakalonipa.” Kwa hiyo wakuu wa Moabu wakakaa naye. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Balaamu akawaambia, “Mlale hapa usiku huu, nami nitawaletea jibu lile bwana atakalonipa.” Kwa hiyo wakuu wa Moabu wakakaa naye. Tazama sura |