Hesabu 22:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Yule punda akamwona malaika wa BWANA, akajilaza chini ya Balaamu; hasira yake Balaamu ikawaka, akampiga punda kwa fimbo yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Punda alipomwona huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, akalala chini. Balaamu akawaka hasira, akampiga kwa fimbo yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Punda alipomwona huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, akalala chini. Balaamu akawaka hasira, akampiga kwa fimbo yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Punda alipomwona huyo malaika wa Mwenyezi-Mungu, akalala chini. Balaamu akawaka hasira, akampiga kwa fimbo yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Punda alipomwona malaika wa Mwenyezi Mungu, alilala chini Balaamu angali amempanda, naye Balaamu akakasirika na kumpiga kwa fimbo yake. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Punda alipomwona malaika wa bwana, alilala chini Balaamu angali amempanda, naye Balaamu akakasirika na kumpiga kwa fimbo yake. Tazama sura |