Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 22:26 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

26 Malaika wa BWANA akaenda mbele akasimama mahali pembamba sana, hapakuwa na nafasi ya kugeukia mkono wa kulia, wala mkono wa kushoto.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Kisha malaika akatangulia tena, akasimama mahali pembamba pasipo na nafasi ya kupita kulia wala kushoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Kisha malaika akatangulia tena, akasimama mahali pembamba pasipo na nafasi ya kupita kulia wala kushoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Kisha malaika akatangulia tena, akasimama mahali pembamba pasipo na nafasi ya kupita kulia wala kushoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Kisha malaika wa Mwenyezi Mungu akaendelea mbele na kusimama mahali pembamba ambapo hapakuwa na nafasi ya kugeuka mkono wa kulia wala wa kushoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Kisha malaika wa bwana akaendelea mbele na kusimama mahali pembamba ambapo hapakuwepo nafasi ya kugeuka, upande wa kulia wala wa kushoto.

Tazama sura Nakili




Hesabu 22:26
4 Marejeleo ya Msalaba  

BWANA, mkono wako umeinuliwa, lakini hawaoni; lakini watauona wivu wako kwa ajili ya watu wako, nao watatahayari; naam, moto utawala adui zako.


Basi kwa ajili ya hayo, angalia, nitaiziba njia yako kwa miiba, nami nitafanya kitalu juu yake, asipate kuyaona mapito yake.


Yule punda akamwona malaika wa BWANA, akajisukuma ukutani, akaubana mguu wake Balaamu, basi akampiga mara ya pili.


Yule punda akamwona malaika wa BWANA, akajilaza chini ya Balaamu; hasira yake Balaamu ikawaka, akampiga punda kwa fimbo yake.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo