Hesabu 21:32 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC32 Kisha Musa akatuma watu ili kupeleleza Yazeri, nao wakaitwaa miji yake, wakawafukuza Waamori waliokuwamo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema32 Kisha Mose alituma watu wapeleleze mji wa Yazeri; wakauteka pamoja na vitongoji vyake, wakawafukuza Waamori waliokaa humo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND32 Kisha Mose alituma watu wapeleleze mji wa Yazeri; wakauteka pamoja na vitongoji vyake, wakawafukuza Waamori waliokaa humo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza32 Kisha Mose alituma watu wapeleleze mji wa Yazeri; wakauteka pamoja na vitongoji vyake, wakawafukuza Waamori waliokaa humo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu32 Baada ya Musa kutuma wapelelezi kwenda mji wa Yazeri, Waisraeli waliteka makazi ya mji huo, na kuwafukuza Waamori walioishi huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu32 Baada ya Musa kutuma wapelelezi kwenda mji wa Yazeri, Waisraeli waliteka viunga vya mji huo na kuwafukuza Waamori waliokuwa wanaishi huko. Tazama sura |