Hesabu 21:20 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC20 na kutoka Bamothi wakaenda bondeni kwenye konde la Moabu, hata kilele cha Pisga, kielekeacho chini jangwani. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema20 na kutoka Bamothi mpaka kwenye bonde linaloingia nchi ya Moabu, kwenye kilele cha Mlima Pisga, kielekeacho chini jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND20 na kutoka Bamothi mpaka kwenye bonde linaloingia nchi ya Moabu, kwenye kilele cha Mlima Pisga, kielekeacho chini jangwani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza20 na kutoka Bamothi mpaka kwenye bonde linaloingia nchi ya Moabu, kwenye kilele cha Mlima Pisga, kielekeacho chini jangwani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu20 na kutoka Bamothi wakafika kwenye bonde lililoko Moabu, mahali kilele cha Pisga kinatazamana na nyika. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu20 na kutoka Bamothi wakafika kwenye bonde lililoko Moabu, mahali ambapo kilele cha Pisga kinatazamana na nyika. Tazama sura |