Hesabu 20:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Musa akaitwaa hiyo fimbo kutoka mbele za BWANA kama alivyomwamuru. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Mose akaenda kuichukua ile fimbo mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyoamriwa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Mose akaenda kuichukua ile fimbo mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyoamriwa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Mose akaenda kuichukua ile fimbo mbele ya Mwenyezi-Mungu kama alivyoamriwa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Kwa hiyo Musa akaichukua hiyo fimbo kutoka pale ilipokuwa mbele za Mwenyezi Mungu kama alivyomwagiza. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Kwa hiyo Musa akaichukua hiyo fimbo kutoka pale ilipokuwa mbele za bwana kama alivyomwagiza. Tazama sura |