Hesabu 20:4 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC4 Mbona mmewaleta kusanyiko la BWANA hadi jangwani hili ili tufe huku, sisi na wanyama wetu? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema4 Kwa nini mlituleta sisi jumuiya ya Mwenyezi-Mungu huku jangwani? Je, mlituleta ili tufe pamoja na mifugo yetu? Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND4 Kwa nini mlituleta sisi jumuiya ya Mwenyezi-Mungu huku jangwani? Je, mlituleta ili tufe pamoja na mifugo yetu? Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza4 Kwa nini mlituleta sisi jumuiya ya Mwenyezi-Mungu huku jangwani? Je, mlituleta ili tufe pamoja na mifugo yetu? Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu4 Kwa nini mmewaleta jumuiya ya Mwenyezi Mungu kwenye jangwa hili, ili tufe humu, sisi na mifugo yetu? Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu4 Kwa nini mmeileta jumuiya ya bwana kwenye jangwa hili, ili tufe humu, sisi na mifugo yetu? Tazama sura |