Hesabu 20:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Musa akafanya kama BWANA alivyomwagiza; wakakwea katika mlima wa Hori mbele ya macho ya mkutano wote. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Mose alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Wote watatu walipanda mlimani mbele ya jumuiya yote ya watu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Mose alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Wote watatu walipanda mlimani mbele ya jumuiya yote ya watu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Mose alifanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Wote watatu walipanda mlimani mbele ya jumuiya yote ya watu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Musa akafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwagiza: Wakapanda Mlima Hori mbele ya macho ya jumuiya yote ya Waisraeli. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Musa akafanya kama bwana alivyomwagiza: Wakapanda Mlima Hori mbele ya macho ya jumuiya yote ya Kiisraeli. Tazama sura |