Hesabu 20:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 BWANA akanena na Musa na Haruni katika mlima wa Hori, karibu na mpaka wa nchi ya Edomu, akawaambia, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni huko kwenye Mlima Hori, mpakani mwa nchi ya Edomu, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni huko kwenye Mlima Hori, mpakani mwa nchi ya Edomu, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 Basi, Mwenyezi-Mungu akamwambia Mose na Aroni huko kwenye Mlima Hori, mpakani mwa nchi ya Edomu, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 Kwenye Mlima Hori, karibu na mpaka wa Edomu, Mwenyezi Mungu akamwambia Musa na Haruni, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 Kwenye Mlima Hori, karibu na mpaka wa Edomu, bwana akamwambia Musa na Haruni, Tazama sura |