Hesabu 20:22 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC22 Kisha wakasafiri kutoka Kadeshi; wana wa Israeli, mkutano mzima, wakafikia mlima wa Hori. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema22 Waisraeli wote walisafiri kutoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND22 Waisraeli wote walisafiri kutoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza22 Waisraeli wote walisafiri kutoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu22 Jumuiya yote ya Waisraeli wakaondoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu22 Jumuiya yote ya Kiisraeli ikaondoka kutoka Kadeshi, wakafika kwenye Mlima Hori. Tazama sura |