Hesabu 20:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Edomu akamwambia, Hutapita katika nchi yangu, nisije nikakutokea kupigana nawe kwa upanga. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Lakini mfalme wa Edomu akamjibu, “La! Hutapita katika nchi yangu, kama ukipita nitatoka na kukushambulia kwa upanga.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Lakini mfalme wa Edomu akamjibu, “La! Hutapita katika nchi yangu, kama ukipita nitatoka na kukushambulia kwa upanga.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Lakini mfalme wa Edomu akamjibu, “La! hutapita katika nchi yangu, kama ukipita nitatoka na kukushambulia kwa upanga.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Lakini mfalme wa Edomu akajibu: “Hamtapita hapa. Mkijaribu kupita, tutatoka na kuwashambulia kwa upanga.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Lakini mfalme wa Edomu akajibu: “Hamtapita hapa; kama mkijaribu kupita, tutatoka na kuwashambulia kwa upanga.” Tazama sura |