Hesabu 20:13 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC13 Maji haya ni maji ya Meriba; kwa sababu wana wa Israeli waliteta na BWANA, naye alijionesha kuwa mtakatifu kati yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Hayo ni maji ya Meriba, mahali ambapo Waisraeli walimnungunikia Mwenyezi-Mungu, naye alijionesha kwa utakatifu kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Hayo ni maji ya Meriba, mahali ambapo Waisraeli walimnungunikia Mwenyezi-Mungu, naye alijionesha kwa utakatifu kati yao. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Hayo ni maji ya Meriba, mahali ambapo Waisraeli walimnung'unikia Mwenyezi-Mungu, naye alijionesha kwa utakatifu kati yao. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Haya yalikuwa maji ya Meriba, ambapo Waisraeli waligombana na Mwenyezi Mungu, naye akajionesha kuwa mtakatifu kati yao. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Haya yalikuwa maji ya Meriba, mahali pale ambapo Waisraeli waligombana na bwana, naye akajionyesha mwenyewe huko kuwa mtakatifu katikati yao. Tazama sura |