Hesabu 2:27 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC27 Na hao watakaopanga karibu naye ni kabila la Asheri; na mkuu wa wana wa Asheri atakuwa Pagieli mwana wa Okrani; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema27 Kisha wale watakaopiga kambi baada yao watakuwa watu wa kabila la Asheri, kiongozi wao akiwa Pagieli mwana wa Okrani, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND27 Kisha wale watakaopiga kambi baada yao watakuwa watu wa kabila la Asheri, kiongozi wao akiwa Pagieli mwana wa Okrani, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza27 Kisha wale watakaopiga kambi baada yao watakuwa watu wa kabila la Asheri, kiongozi wao akiwa Pagieli mwana wa Okrani, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu27 Kabila la Asheri watapiga kambi karibu na Dani. Kiongozi wa watu wa Asheri ni Pagieli mwana wa Okrani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu27 Kabila la Asheri watapiga kambi karibu na Dani. Kiongozi wa watu wa Asheri ni Pagieli mwana wa Okrani. Tazama sura |