Hesabu 19:3 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC3 nanyi mtamleta kwa Eleazari kuhani, naye atakwenda naye nje ya kambi, na mtu mmoja atamchinja mbele yake; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema3 Nyinyi mtampa kuhani Eleazari ng'ombe huyo. Atatolewa nje ya kambi na kuchinjwa mbele ya kuhani huyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND3 Nyinyi mtampa kuhani Eleazari ng'ombe huyo. Atatolewa nje ya kambi na kuchinjwa mbele ya kuhani huyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza3 Nyinyi mtampa kuhani Eleazari ng'ombe huyo. Atatolewa nje ya kambi na kuchinjwa mbele ya kuhani huyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu3 Mpeni kuhani Eleazari huyo mtamba; naye atatolewa nje ya kambi na kuchinjwa mbele yake huyo kuhani. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu3 Mpeni kuhani Eleazari huyo mtamba; naye atatolewa nje ya kambi na kuchinjwa mbele yake huyo kuhani. Tazama sura |