Hesabu 18:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 Tena nyama yao itakuwa ni yako wewe, kama kile kidari cha kutikiswa, na kama mguu wa nyuma wa upande wa kulia, itakuwa yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 Nyama yao unaweza kuila, kama vile kidari na mguu wa nyuma wa kulia vinavyotolewa kama sadaka ya kutikisa. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 Nyama yao unaweza kuila, kama vile kidari na mguu wa nyuma wa kulia vinavyotolewa kama sadaka ya kutikisa. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 Nyama yao unaweza kuila, kama vile kidari na mguu wa nyuma wa kulia vinavyotolewa kama sadaka ya kutikisa. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Nyama zao zitakuwa chakula chenu, kama ilivyokuwa kidari cha kuinuliwa na paja la mguu wa kulia. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Nyama zao zitakuwa chakula chenu, kama ilivyokuwa kidari cha kuinuliwa na paja la mguu wa kulia. Tazama sura |