Hesabu 17:9 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC9 Kisha Musa akazitoa nje hizo fimbo zote kutoka hapo mbele za BWANA na kuziweka mbele ya wana wa Israeli wote; nao wakaangalia, na kila mtu akaitwaa fimbo yake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema9 Kisha Mose akazitoa fimbo zote hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawaonesha Waisraeli wote, na kila kiongozi akachukua fimbo yake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND9 Kisha Mose akazitoa fimbo zote hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawaonesha Waisraeli wote, na kila kiongozi akachukua fimbo yake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza9 Kisha Mose akazitoa fimbo zote hapo mbele ya Mwenyezi-Mungu, akawaonesha Waisraeli wote, na kila kiongozi akachukua fimbo yake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu9 Ndipo Musa akaleta zile fimbo zote kwa Waisraeli wote kutoka mbele za Mwenyezi Mungu. Wakaziangalia, na kila mtu akaichukua fimbo yake mwenyewe. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu9 Ndipo Musa akaleta zile fimbo zote kwa Waisraeli wote kutoka mbele za bwana. Wakaziangalia, na kila mtu akaichukua fimbo yake mwenyewe. Tazama sura |