Hesabu 17:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Basi Musa akafanya hivyo; kama BWANA alivyomwagiza, ndivyo alivyofanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Mose akafanya kama alivyoamriwa na Mwenyezi-Mungu. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Musa akafanya kama Mwenyezi Mungu alivyomwamuru. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Musa akafanya kama bwana alivyomwamuru. Tazama sura |