Hesabu 16:7 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC7 vitieni na moto, mkaweke na uvumba juu yake mbele za BWANA kesho; kisha itakuwa ya kwamba mtu atakayechaguliwa na BWANA, yeye atakuwa mtakatifu; inawatosha ninyi, enyi wana wa Lawi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema7 mweke makaa ya moto ndani na kutia ubani juu yake, kisha mtavipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu. Halafu tutaona ni nani aliyechaguliwa na Mwenyezi-Mungu. Nyinyi Walawi mmepita kikomo!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND7 mweke makaa ya moto ndani na kutia ubani juu yake, kisha mtavipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu. Halafu tutaona ni nani aliyechaguliwa na Mwenyezi-Mungu. Nyinyi Walawi mmepita kikomo!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza7 mweke makaa ya moto ndani na kutia ubani juu yake, kisha mtavipeleka mbele ya Mwenyezi-Mungu. Halafu tutaona ni nani aliyechaguliwa na Mwenyezi-Mungu. Nyinyi Walawi mmepita kikomo!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu7 kesho wekeni moto na uvumba kwenye hivyo vyetezo mbele za Mwenyezi Mungu. Mtu ambaye Mwenyezi Mungu atamchagua atakuwa ndiye mtakatifu. Ninyi Walawi mmejitukuza sana!” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu7 kesho wekeni moto na uvumba kwenye hivyo vyetezo mbele za bwana. Mtu ambaye bwana atamchagua atakuwa ndiye mtakatifu. Ninyi Walawi mmejitukuza sana!” Tazama sura |