Hesabu 16:50 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC50 Haruni akamrudia Musa pale mlangoni pa hema ya kukutania; hiyo tauni ikazuiwa. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema50 Pigo lilipokoma, Aroni alirudi kwa Mose mlangoni mwa hema la mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND50 Pigo lilipokoma, Aroni alirudi kwa Mose mlangoni mwa hema la mkutano. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza50 Pigo lilipokoma, Aroni alirudi kwa Mose mlangoni mwa hema la mkutano. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu50 Ndipo Haruni akamrudia Musa kwenye mlango wa Hema la Kukutania, kwa maana tauni ilikuwa imekoma. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu50 Ndipo Haruni akamrudia Musa kwenye mlango wa Hema la Kukutania, kwa maana tauni ilikuwa imekoma. Tazama sura |