Hesabu 16:45 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC45 Ondokeni kati ya mkutano, ili niwaangamize mara moja. Wao wakaanguka kifudifudi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema45 “Jitenge na watu hawa, niwaangamize mara moja!” Lakini wao wakajitupa chini kifudifudi. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND45 “Jitenge na watu hawa, niwaangamize mara moja!” Lakini wao wakajitupa chini kifudifudi. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza45 “Jitenge na watu hawa, niwaangamize mara moja!” Lakini wao wakajitupa chini kifudifudi. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu45 “Jitenge mbali na kusanyiko hili ili niweze kuwaangamiza mara moja.” Wakaanguka kifudifudi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu45 “Jitenge mbali na kusanyiko hili ili niweze kuwaangamiza mara moja.” Wakaanguka chini kifudifudi. Tazama sura |