Hesabu 16:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Kisha moto ukatoka kwa BWANA, ukawateketeza hao watu mia mbili hamsini waliofukiza uvumba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Kisha Mwenyezi-Mungu akapeleka moto ukawateketeza wale watu 250 waliokwenda kufukiza ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Kisha Mwenyezi-Mungu akapeleka moto ukawateketeza wale watu 250 waliokwenda kufukiza ubani. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Kisha Mwenyezi-Mungu akapeleka moto ukawateketeza wale watu 250 waliokwenda kufukiza ubani. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Moto ukaja kutoka kwa Mwenyezi Mungu, ukawateketeza wale watu mia mbili na hamsini waliokuwa wakifukiza uvumba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Moto ukaja kutoka kwa bwana, ukawateketeza wale watu 250 waliokuwa wakifukiza uvumba. Tazama sura |