Hesabu 16:29 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC29 Kama watu hawa wakifa kifo cha kawaida, kama watu wote wafavyo, au kama wataadhibiwa kwa adhabu ya watu wote; hapo basi BWANA hakunituma mimi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Watu hawa wakifa kifo cha kawaida, au wakipatwa na maafa kama watu wengine, basi jueni kuwa Mwenyezi-Mungu hakunituma. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Watu hawa wakifa kifo cha kawaida, au wakipatwa na maafa kama watu wengine, basi jueni kuwa Mwenyezi-Mungu hakunituma. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Watu hawa wakifa kifo cha kawaida, au wakipatwa na maafa kama watu wengine, basi jueni kuwa Mwenyezi-Mungu hakunituma. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Ikiwa watu hawa watakufa kifo cha kawaida na kupatwa na yale ya kawaida yanayowapata wanadamu, basi Mwenyezi Mungu hakunituma mimi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Ikiwa watu hawa watakufa kifo cha kawaida na kupatwa na yale ya kawaida yanayowapata wanadamu, basi bwana hakunituma mimi. Tazama sura |