Hesabu 16:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC28 Musa akasema, Kwa jambo hili mtajua ya kwamba BWANA amenituma, ili nifanye kazi hizi zote; kwa kuwa mimi sikuzifanya kwa akili zangu mwenyewe. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Hapo Mose akawaambia watu, “Hivi ndivyo mtakavyotambua kuwa Mwenyezi-Mungu ndiye aliyenituma kufanya mambo haya yote, wala siyo kwa matakwa yangu mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Hapo Mose akawaambia watu, “Hivi ndivyo mtakavyotambua kuwa Mwenyezi-Mungu ndiye aliyenituma kufanya mambo haya yote, wala siyo kwa matakwa yangu mwenyewe. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Hapo Mose akawaambia watu, “Hivi ndivyo mtakavyotambua kuwa Mwenyezi-Mungu ndiye aliyenituma kufanya mambo haya yote, wala siyo kwa matakwa yangu mwenyewe. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Ndipo Musa akasema, “Hivi ndivyo mtakavyojua kuwa Mwenyezi Mungu amenituma kufanya mambo haya, na kwamba halikuwa wazo langu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Ndipo Musa akasema, “Hivi ndivyo mtakavyojua kuwa bwana amenituma kufanya mambo haya, na kwamba halikuwa wazo langu. Tazama sura |