Hesabu 16:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Jitengeni ninyi mkaondoke kati ya mkutano huu, ili nipate kuwaangamiza mara moja. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 “Jitengeni na watu hawa, niwaangamize sasa hivi.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 “Jitengeni na watu hawa, niwaangamize sasa hivi.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 “Jitengeni na watu hawa, niwaangamize sasa hivi.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 “Jitengeni na kusanyiko hili ili nipate kuwaangamiza mara moja.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 “Jitengeni kutoka kwenye kusanyiko hili ili nipate kuwaangamiza mara moja.” Tazama sura |