Hesabu 16:16 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC16 Kisha Musa akamwambia Kora, Wewe na mkutano wako wote kuweni hapa mbele ya BWANA kesho, wewe, na wao, na Haruni; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema16 Mose akamwambia Kora, “Kesho usikose kuja pamoja na wafuasi wako mbele ya Mwenyezi-Mungu. Aroni pia atakuwapo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND16 Mose akamwambia Kora, “Kesho usikose kuja pamoja na wafuasi wako mbele ya Mwenyezi-Mungu. Aroni pia atakuwapo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza16 Mose akamwambia Kora, “Kesho usikose kuja pamoja na wafuasi wako mbele ya Mwenyezi-Mungu. Aroni pia atakuwapo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu16 Musa akamwambia Kora, “Wewe na wafuasi wako wote kesho mtatokea mbele za Mwenyezi Mungu: wewe na hao wenzako, pamoja na Haruni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu16 Musa akamwambia Kora, “Wewe na wafuasi wako wote kesho mtatokea mbele za bwana: yaani wewe na hao wenzako, pamoja na Haruni. Tazama sura |