Hesabu 16:12 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC12 Kisha Musa akatuma ujumbe wa kuwaita Dathani na Abiramu wana wa Eliabu; nao wakasema, “Hatuji sisi”; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema12 Mose alituma ujumbe kwa Dathani na Abiramu wana wa Eliabu ili waitwe, lakini wao wakasema, “Hatutakuja! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND12 Mose alituma ujumbe kwa Dathani na Abiramu wana wa Eliabu ili waitwe, lakini wao wakasema, “Hatutakuja! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza12 Mose alituma ujumbe kwa Dathani na Abiramu wana wa Eliabu ili waitwe, lakini wao wakasema, “Hatutakuja! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu12 Kisha Musa akawaita Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu. Lakini wao wakasema, “Sisi hatuji! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu12 Kisha Musa akawaita Dathani na Abiramu, wana wa Eliabu. Lakini wao wakasema, “Sisi hatuji! Tazama sura |