Hesabu 16:11 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC11 Kwa sababu hii wewe na mkutano wako wote mmekusanyika kinyume cha BWANA; na Haruni, je! Yeye ni nani hata mkamnung'unikia? Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema11 Kwa hiyo wewe na kundi lako mnamshambulia Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mnamnungunikia Aroni, lakini ukweli ni kwamba mnanungunika dhidi ya Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND11 Kwa hiyo wewe na kundi lako mnamshambulia Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mnamnungunikia Aroni, lakini ukweli ni kwamba mnanungunika dhidi ya Mungu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza11 Kwa hiyo wewe na kundi lako mnamshambulia Mwenyezi-Mungu. Nyinyi mnamnung'unikia Aroni, lakini ukweli ni kwamba mnanung'unika dhidi ya Mungu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu11 Wewe na wafuasi wako wote mmekusanyika pamoja kinyume cha Mwenyezi Mungu. Haruni ni nani kwamba ninyi mnung’unike dhidi yake?” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu11 Wewe na wafuasi wako wote mmekusanyika pamoja kinyume cha bwana. Haruni ni nani kwamba ninyi mnung’unike dhidi yake?” Tazama sura |