Hesabu 15:6 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC6 Au kwa ajili ya kondoo dume, utaiandaa sadaka ya unga ya sehemu za kumi mbili za efa ya unga mwembamba uliochanganywa na sehemu ya tatu ya hini ya mafuta; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema6 Wakati wa kutoa sadaka ya kondoo dume, kilo mbili za unga uliokandwa na lita moja u nusu ya mafuta vitatolewa kama sadaka ya nafaka, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND6 Wakati wa kutoa sadaka ya kondoo dume, kilo mbili za unga uliokandwa na lita moja u nusu ya mafuta vitatolewa kama sadaka ya nafaka, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza6 Wakati wa kutoa sadaka ya kondoo dume, kilo mbili za unga uliokandwa na lita moja u nusu ya mafuta vitatolewa kama sadaka ya nafaka, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu6 “ ‘Pamoja na kondoo dume, andaa sadaka ya nafaka ya sehemu mbili za kumi ya efa ya unga laini uliochanganywa na theluthi moja ya hini ya mafuta, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu6 “ ‘Pamoja na kondoo dume andaa sadaka ya nafaka ya sehemu mbili za kumi za efa za unga laini uliochanganywa na theluthi moja ya hini ya mafuta, Tazama sura |