Hesabu 15:21 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC21 Malimbuko ya unga wenu mtampa BWANA sadaka ya kuinuliwa, katika vizazi vyenu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema21 Mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka hii maalumu katika vizazi vyenu vyote vijavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND21 Mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka hii maalumu katika vizazi vyenu vyote vijavyo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza21 Mtanitolea mimi Mwenyezi-Mungu sadaka hii maalumu katika vizazi vyenu vyote vijavyo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu21 Kwa vizazi vyote vijavyo hamna budi kutoa sadaka hii kwa Mwenyezi Mungu kutoka kwa malimbuko ya unga wenu. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu21 Kwa vizazi vyote vijavyo hamna budi kutoa sadaka hii kwa bwana kutoka kwa malimbuko ya unga wenu. Tazama sura |