Hesabu 14:41 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC41 Musa akawaambia, Kwa nini ninyi sasa kuyakaidi maagizo ya BWANA? Maana halitafanikiwa jambo hilo. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema41 Lakini Mose akasema, “Sasa mbona mnavunja agizo la Mwenyezi-Mungu? Hivyo hamtafaulu! Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND41 Lakini Mose akasema, “Sasa mbona mnavunja agizo la Mwenyezi-Mungu? Hivyo hamtafaulu! Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza41 Lakini Mose akasema, “Sasa mbona mnavunja agizo la Mwenyezi-Mungu? Hivyo hamtafaulu! Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu41 Lakini Musa akasema, “Kwa nini hamtii amri ya Mwenyezi Mungu? Jambo hili halitafanikiwa! Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu41 Lakini Musa akasema, “Kwa nini hamtii amri ya bwana? Jambo hili halitafanikiwa! Tazama sura |