Hesabu 14:23 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC23 hakika yangu hawataiona hiyo nchi niliyowaapia baba zao, wala katika hao wote walionidharau hapana atakayeiona; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema23 ataiona nchi ile niliyoapa kuwapatia babu zao; kadhalika hata wale wanaonidharau pia hawataiona. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND23 ataiona nchi ile niliyoapa kuwapatia babu zao; kadhalika hata wale wanaonidharau pia hawataiona. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza23 ataiona nchi ile niliyoapa kuwapatia babu zao; kadhalika hata wale wanaonidharau pia hawataiona. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu23 hakuna hata mmoja wao atakayeona nchi niliyowaahidi baba zao kwa kiapo. Hakuna hata mmoja ambaye amenidharau atakayeiona. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu23 hakuna hata mmoja wao atakayeona nchi niliyowaahidi baba zao kwa kiapo. Hakuna hata mmoja ambaye amenidharau atakayeiona. Tazama sura |