Hesabu 14:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Basi sasa nakusihi sana, uweza wa Bwana wangu na uwe mkuu, kama ulivyonena, uliposema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Basi, sasa nakusihi, ee Mwenyezi-Mungu, utuoneshe uwezo wako kwa kufanya kama ulivyotuahidi uliposema, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Basi, sasa nakusihi, ee Mwenyezi-Mungu, utuoneshe uwezo wako kwa kufanya kama ulivyotuahidi uliposema, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Basi, sasa nakusihi, ee Mwenyezi-Mungu, utuoneshe uwezo wako kwa kufanya kama ulivyotuahidi uliposema, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 “Basi sasa nguvu za Bwana na zionekane, sawasawa na ulivyosema: Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 “Basi sasa nguvu za Bwana na zionekane, sawasawa na vile ulivyosema: Tazama sura |