Hesabu 14:15 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC15 Basi kama wewe ukiwaua watu hawa mfano wa mtu mmoja, ndipo mataifa yaliyosikia habari za sifa zako watakaponena na kusema, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema15 Sasa basi, ukiwaua watu wako wote kwa mara moja, mataifa ambayo yamekwisha sikia sifa zako yatasema, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND15 Sasa basi, ukiwaua watu wako wote kwa mara moja, mataifa ambayo yamekwisha sikia sifa zako yatasema, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza15 Sasa basi, ukiwaua watu wako wote kwa mara moja, mataifa ambayo yamekwisha sikia sifa zako yatasema, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu15 Ikiwa utawaua watu hawa wote mara moja, mataifa ambayo yamesikia taarifa hii kukuhusu wewe watasema, Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu15 Ikiwa utawaua watu hawa wote mara moja, mataifa ambayo yamesikia taarifa hii kukuhusu wewe watasema, Tazama sura |