Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Hesabu 13:24 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

24 Bonde lile liliitwa bonde la Eshkoli kwa sababu ya hicho kishada walichokata huko wana wa Israeli.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

24 Mahali hapo paliitwa Bonde la Eshkoli kwa sababu ya shada ambalo watu hao wa Israeli walikata kutoka mahali hapo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

24 Mahali hapo paliitwa Bonde la Eshkoli kwa sababu ya shada ambalo watu hao wa Israeli walikata kutoka mahali hapo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

24 Mahali hapo paliitwa Bonde la Eshkoli kwa sababu ya shada ambalo watu hao wa Israeli walikata kutoka mahali hapo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

24 Eneo lile likaitwa Bonde la Eshkoli kwa sababu ya kile kishada cha zabibu ambacho Waisraeli walikikata huko.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

24 Eneo lile likaitwa Bonde la Eshkoli kwa sababu ya kile kishada cha zabibu ambacho Waisraeli walikikata huko.

Tazama sura Nakili

Hesabu 13:24
3 Marejeleo ya Msalaba  

Wakafika bonde la Eshkoli, na huko wakakata tawi lenye kishada kimoja cha zabibu, wakalichukua kwa mti kati ya watu wawili; wakaleta makomamanga pia, na tini.

Wakarejea baada ya kuipeleleza nchi, mwisho wa siku arubaini.

Kwa kuwa walipokwea na kuingia bonde la Eshkoli, na kuiona nchi, wakawavunja mioyo wana wa Israeli, ili wasikwee kuingia nchi aliyowapa BWANA.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo