Hesabu 13:18 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC18 mkaitazame nchi ni ya namna gani; na watu wanaokaa ndani yake, kama ni wenye nguvu au dhaifu, kama ni wengi au wachache; Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema18 mkaipeleleze nchi ilivyo. Chunguzeni pia kama watu wanaoishi humo ni wenye nguvu au dhaifu, wengi au wachache. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND18 mkaipeleleze nchi ilivyo. Chunguzeni pia kama watu wanaoishi humo ni wenye nguvu au dhaifu, wengi au wachache. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza18 mkaipeleleze nchi ilivyo. Chunguzeni pia kama watu wanaoishi humo ni wenye nguvu au dhaifu, wengi au wachache. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu18 Mwone nchi ni ya namna gani, na kama watu wanaoishi humo wana nguvu au ni wadhaifu, iwapo ni wachache au wengi. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu18 Mwone nchi ni ya namna gani, na kama watu waishio humo wana nguvu au ni wadhaifu, iwapo ni wachache au wengi. Tazama sura |