Hesabu 13:17 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC17 Musa akawatuma ili waipeleleze nchi ya Kanaani, akawaambia, Pandeni sasa katika Negebu mkapande milimani, Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema17 Alipowatuma kwenda kuipeleleza nchi ya Kanaani, Mose aliwaambia: “Nendeni juu kule Negebu, hadi kwenye nchi ya milima, Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND17 Alipowatuma kwenda kuipeleleza nchi ya Kanaani, Mose aliwaambia: “Nendeni juu kule Negebu, hadi kwenye nchi ya milima, Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza17 Alipowatuma kwenda kuipeleleza nchi ya Kanaani, Mose aliwaambia: “Nendeni juu kule Negebu, hadi kwenye nchi ya milima, Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu17 Musa alipowatuma wakaipeleleze Kanaani, alisema, “Pandeni kupitia Negebu, mwende hadi nchi ya vilima. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu17 Musa alipowatuma wakaipeleleze Kanaani, alisema, “Pandeni kupitia Negebu, mwende mpaka nchi ya vilima. Tazama sura |