Hesabu 12:2 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC2 Wakasema, Je! Ni kweli BWANA amenena na Musa tu? Hakunena na sisi pia? BWANA akasikia maneno yao. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema2 Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND2 Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza2 Wakasema, “Hivi kwani Mwenyezi-Mungu amezungumza kwa kumwagiza Mose peke yake? Je, hajazungumza nasi pia?” Mwenyezi-Mungu aliyasikia maneno hayo. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu2 Waliuliza, “Je, Mwenyezi Mungu amesema kupitia Musa peke yake? Je, hajasema kutupitia sisi pia?” Naye Mwenyezi Mungu akasikia hili. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu2 Waliuliza, “Je, bwana amesema kupitia Musa peke yake? Je, hajasema kutupitia sisi pia?” Naye bwana akasikia hili. Tazama sura |