Hesabu 11:35 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC35 Kutoka hapo Kibroth-hataava watu wakasafiri kwenda Haserothi; wakakaa huko Haserothi. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema35 Kutoka hapo Kibroth-hataava watu walisafiri mpaka Haserothi, wakapiga kambi yao na kukaa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND35 Kutoka hapo Kibroth-hataava watu walisafiri mpaka Haserothi, wakapiga kambi yao na kukaa huko. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza35 Kutoka hapo Kibroth-hataava watu walisafiri mpaka Haserothi, wakapiga kambi yao na kukaa huko. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu35 Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri hadi Haserothi na kukaa huko. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu35 Kutoka Kibroth-Hataava watu wakasafiri mpaka Haserothi na kukaa huko. Tazama sura |