Hesabu 11:33 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC33 Kisha hapo hiyo nyama ilipokuwa ikali kati ya meno yao, hawajaitafuna bado, hasira za BWANA ziliwaka juu ya watu, BWANA akawapiga watu kwa pigo kuu mno. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema33 Kulipokuwa bado kuna nyama kwa wingi na kabla watu hawajawamaliza kuila, Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia watu, akawapiga watu kwa pigo kubwa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND33 Kulipokuwa bado kuna nyama kwa wingi na kabla watu hawajawamaliza kuila, Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia watu, akawapiga watu kwa pigo kubwa sana. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza33 Kulipokuwa bado kuna nyama kwa wingi na kabla watu hawajawamaliza kuila, Mwenyezi-Mungu aliwakasirikia watu, akawapiga watu kwa pigo kubwa sana. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu33 Lakini walipokuwa wakila nyama, ilipokuwa ingali kati ya meno yao na kabla hawajamaliza kula, hasira ya Mwenyezi Mungu ikawaka dhidi ya watu, naye akawapiga kwa tauni. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu33 Lakini walipokuwa wakila nyama, ilipokuwa ingali kati ya meno yao na kabla hawajamaliza kula, hasira ya bwana ikawaka dhidi ya watu, naye akawapiga kwa tauni. Tazama sura |