Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Hesabu 11:28 - Swahili Revised Union Version - SRUVDC

28 Yoshua mwana wa Nuni, mtumishi wa Musa tangu ujana wake, akajibu akasema, Ee bwana wangu Musa, uwakataze.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Hapo, Yoshua, mwana wa Nuni, ambaye alikuwa msaidizi wa Mose tangu ujana wake, akamwambia Mose, “Bwana wangu, wakataze!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Hapo, Yoshua, mwana wa Nuni, ambaye alikuwa msaidizi wa Mose tangu ujana wake, akamwambia Mose, “Bwana wangu, wakataze!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Hapo, Yoshua, mwana wa Nuni, ambaye alikuwa msaidizi wa Mose tangu ujana wake, akamwambia Mose, “Bwana wangu, wakataze!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Yoshua mwana wa Nuni, aliyekuwa msaidizi wa Musa tangu ujana wake, akajibu, akasema, “Musa bwana wangu, wanyamazishe!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Yoshua mwana wa Nuni, ambaye alikuwa msaidizi wa Musa tangu ujana wake, akajibu akasema, “Musa bwana wangu, wanyamazishe!”

Tazama sura Nakili




Hesabu 11:28
9 Marejeleo ya Msalaba  

na mwanawe huyo ni Nuni, na mwanawe huyo ni Yoshua.


Musa akamwambia Yoshua, Tuchagulie watu, uende ukapigane na Waamaleki; kesho nitasimama juu ya kilele kile, na ile fimbo ya Mungu nitakuwa nayo mkononi mwangu.


Musa akaondoka na Yoshua, mtumishi wake, Musa akapanda mlimani kwa Mungu.


Naye BWANA akasema na Musa uso kwa uso, kama vile mtu asemavyo na rafiki yake. Kisha akageuka akarejea hata kambini; bali mtumishi wake Yoshua, mwana wa Nuni, naye ni kijana, hakutoka mle hemani.


Mtu mmoja kijana akapiga mbio, akaenda akamwambia Musa, akasema, Eldadi na Medadi wanatoa unabii kambini.


Wakamwendea Yohana, wakamwambia, Rabi, yeye aliyekuwa pamoja nawe ng'ambo ya Yordani, yeye uliyemshuhudia, tazama, huyo anabatiza na watu wote wanamwendea.


Baada ya kufa kwake Musa, mtumishi wa BWANA, BWANA akamwambia Yoshua, mwana wa Nuni, mtumishi wa Musa, akasema,


Tufuate:

Matangazo


Matangazo